Injera Ndiye Mfungaji Bora Duniani



Nahodha wa timu ya taifa ya mchezo wa raga kwa wachezaji saba kila upande Collins Injera amempiku Santiago Gomez Cora kama mfungaji bora baada ya kufunga try yake ya 231 katika pambano la mwisho la makundi nchini Uingereza. 

Kenya ilikumbwa na utepetevu na kumaliza kipindi cha kwanza wakiwa chini kwa alama 19-0. 

Share on Google Plus

Kuhusu Unknown

Michezo Kenya Tunapenda Spoti

0 comments:

Post a Comment